Kuwavalisha watoto wakati wa baridi
Ni vizuri kuwavisha watoto kwa mpangilio wa nguo tatu ili awe na joto na kavu. Kila nguo ina kazi yake kutoka nguo ya ndani hadi nguo ya nje. Kwa pamoja nguo hizi zitaufanya mwili uwe mkavu,wenye kupitisha hewa na kuulinda dhidi ya upepo na theluji/barafu.
Nguo ya ndani
Nguo za ndani zitasaidia au zitachangia mwili kuwa mkavu.
Tumia nguo zilizotengenezwa kwa manyoya ya kondoo ama nguo bora za ndani, moja kwa moja kwenye ngozi mwilini. Nguo zilizotengenezwa kwa manyoya ya kondoo zinatoa unyevunyevu kutoka kwenye ngozi na hujitenga yenyewe hata kama ikiwa kumelowana au kuna hali ya majimaji. Nguo bora za ndani hupitisha zaidi unyevunyevu zaidi ya nguo zilizotengenezwa kwa manyoya ya kondoo, lakini haijitengi ikiwa pamelowana. Epuka kutumia nguo zilizotengenezwa kwa pamba ndani, kwani zitalowana na kupoteza uwezo wa kuweka joto.
Nguo za kati
Nguo ya safu ya kati inapaswa au inatakiwa kimsingi kukinga au kuzuia dhidi ya baridi.
Ni hewa kati ya mpangilio wa nguo ya ndani na nguo ya nje ambayo huhifadhi joto. Kwa hiyo nguo za safu ya kati zinapaswa zisiwe za kubana (ziwe na nafasi kidogo/zilegee), lakini zisiwe kubwa sana. Nguo zilizotengenezwa kwa manyoya ya kondoo na fleece (sweta laini) zinapendekezwa. Rekebisha unene wa nguo kutokana na hali ya hewa ya joto.
Tumia soksi zilizotengenezwa kwa manyoya ya kondoo ili miguu iwe mikavu na yenye joto.
Nguo za nje
Nguo ya nje inapaswa kulinda dhidi ya upepo, mvua na theluji/barafu
Unaweza kuchagua kati nguo moja iliyokamilika kabisa (dresi) ama koti na suruali/pantalo. Suruali ya kuvaa kwa nje ama nguo moja iliyokamilika kabisa inapaswa kuwa na kizuizi unachoweza kufunga chini ya viatu ili kuepuka suruali kupanda juu ya viatu na kuzuia theluji/barafu na maji kuingia ndani.
Kofia ya kichwani yenye kuhifadhi vizuri joto ni muhimu ili kufanya mwili wote kuwa na joto, kwa sababu upotevu mwingi wa joto hutokea kichwani. Angalia kuwa kofia inakaa vizuri kuzunguka masikio na inafunika paji la uso (sehemu ya mbele ya kichwa usona), mashavu na shingo. Unaweza kutumia kilemba au kitambaa cha shingoni ili kulinda shingo.
Tumia soksi za mikono za baridi zinazozuia maji na baridi (glovu) na hakikisha zimekaa vizuri ili kusaidia maji na theluji/barafu yasiingie ndani. Watoto wanapaswa kuweza kuchezesha vidole vya miguuni ili kuwezesha miguu kupata joto. Hivyo ni muhimu kuwa na nafasi ya kutosha kwenye viatu, na pia wakati umevaa soksi zilizotengenezwa kwa manyoya ya kondoo.
Kumbuka
- Kama kuna upepo utahisi au utasikia baridi.
- Watoto wadogo wanahisi baridi rahisi kuliko watu wazima au wakubwa.
- Hali joto ni ya chini karibu na ardhi (kwenye udongo).
- Mfatilie mtoto na muangalie sehemu ya chini ya nyuma ya shingo kama yupo na joto la kutosha.
Ukurasa huu pia unaweza kuchapishwa au kutta nakala . Bonyeza kitufe cha “chapisha” juu ya andiko.
Soma zaidi kuhusu nguo na jinsi ya kuvaa wakati wa majira ya baridi kwa lugha mbalimbali hapa
TIL DU SOM OVERSETTER!!
Det som kommer under her er det samme som i tabellen over! Du kan derfor kopiere og lime inn. Du trenger IKKE å oversette to ganger. Det skal ikke være lydblokker på det som kommer under, dette er til utskrift.
Kuwavalisha watoto wakati wa baridi
Ni vizuri kuwavisha watoto kwa mpangilio wa nguo tatu ili awe na joto na kavu. Kila nguo ina kazi yake kutoka nguo ya ndani hadi nguo ya nje. Kwa pamoja nguo hizi zitaufanya mwili uwe mkavu,wenye kupitisha hewa na kuulinda dhidi ya upepo na theluji/barafu.
Nguo ya ndani
Nguo za ndani zitasaidia au zitachangia mwili kuwa mkavu.
Tumia nguo zilizotengenezwa kwa manyoya ya kondoo ama nguo bora za ndani, moja kwa moja kwenye ngozi mwilini. Nguo zilizotengenezwa kwa manyoya ya kondoo zinatoa unyevunyevu kutoka kwenye ngozi na hujitenga yenyewe hata kama ikiwa kumelowana au kuna hali ya majimaji. Nguo bora za ndani hupitisha zaidi unyevunyevu zaidi ya nguo zilizotengenezwa kwa manyoya ya kondoo, lakini haijitengi ikiwa pamelowana. Epuka kutumia nguo zilizotengenezwa kwa pamba ndani, kwani zitalowana na kupoteza uwezo wa kuweka joto.
Nguo za kati
Nguo ya safu ya kati inapaswa au inatakiwa kimsingi kukinga au kuzuia dhidi ya baridi.
Ni hewa kati ya mpangilio wa nguo ya ndani na nguo ya nje ambayo huhifadhi joto. Kwa hiyo nguo za safu ya kati zinapaswa zisiwe za kubana (ziwe na nafasi kidogo/zilegee), lakini zisiwe kubwa sana. Nguo zilizotengenezwa kwa manyoya ya kondoo na fleece (sweta laini) zinapendekezwa. Rekebisha unene wa nguo kutokana na hali ya hewa ya joto.
Tumia soksi zilizotengenezwa kwa manyoya ya kondoo ili miguu iwe mikavu na yenye joto.
Nguo za nje
Nguo ya nje inapaswa kulinda dhidi ya upepo, mvua na theluji/barafu
Unaweza kuchagua kati nguo moja iliyokamilika kabisa (dresi) ama koti na suruali/pantalo. Suruali ya kuvaa kwa nje ama nguo moja iliyokamilika kabisa inapaswa kuwa na kizuizi unachoweza kufunga chini ya viatu ili kuepuka suruali kupanda juu ya viatu na kuzuia theluji/barafu na maji kuingia ndani.
Kofia ya kichwani yenye kuhifadhi vizuri joto ni muhimu ili kufanya mwili wote kuwa na joto, kwa sababu upotevu mwingi wa joto hutokea kichwani. Angalia kuwa kofia inakaa vizuri kuzunguka masikio na inafunika paji la uso (sehemu ya mbele ya kichwa usona), mashavu na shingo. Unaweza kutumia kilemba au kitambaa cha shingoni ili kulinda shingo.
Tumia soksi za mikono za baridi zinazozuia maji na baridi (glovu) na hakikisha zimekaa vizuri ili kusaidia maji na theluji/barafu yasiingie ndani. Watoto wanapaswa kuweza kuchezesha vidole vya miguuni ili kuwezesha miguu kupata joto. Hivyo ni muhimu kuwa na nafasi ya kutosha kwenye viatu, na pia wakati umevaa soksi zilizotengenezwa kwa manyoya ya kondoo.
Kumbuka
- Kama kuna upepo utahisi au utasikia baridi.
- Watoto wadogo wanahisi baridi rahisi kuliko watu wazima au wakubwa.
- Hali joto ni ya chini karibu na ardhi (kwenye udongo).
- Mfatilie mtoto na muangalie sehemu ya chini ya nyuma ya shingo kama yupo na joto la kutosha.
Les mer om klær og påkledning på flere språk ved å scanne QR-koden
morsmal.no
Vil du ha en brosjyre om vinterklær på mange språk?
Om vinterklær // Nguo za wakati wa baridi
Om vinterklær på flere språk kan hjelpe personalet og gi foresatte viktig informasjon om klær