Hva er demokrati?// Demokrasia ni nini?
Swahili
Demokrasia ina maanisha ni uongozi wa watu (watu ndio wanao ongoza). Lakini ina maana gani tunaposema kuwa nchi ina demokrasia? Je inatosha kwa sababu kila mtu ana haki ya kupiga kura (kuamua) au ni kuhusu jambo lingine zaidi? Aina tofauti za demokrasia Nchi nyingi duniani zinajiita kuwa ni nchi za kidemokrasia. Nchi nyingi kati ya …